LATEST ARTICLES
 
Uchukue

New Music: Mrisho Mpoto ft. Felly Kano – Njoo Uchukue

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 1:41 pm
Huu mi wimbo mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto akimshirikisha Felly Kano wimbo unaitwa “Njoo Uchukue” Add a comment comments

Amber n Chyna

D’Banj kuwadondosha Amber Rose na Blac Chyna Nigeria weekend hii

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 1:24 pm
Staa wa Nigeria, D’Banj anatarajia kuwadondosha Amber Rose na Black Chyna nchini Nigeria kwenye event yake ‘10th Anniversary Movement’ itakayofanyika weekend hii Jan 31, 2015 jijini Lagos. Amber Rose na Blac Chyna Ex wa rapper ...

r-kelly-hb

Umeiona video mpya ya R.Kelly ‘Happy Birthday? Mashabiki wadai kapotea njia (18+)

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 12:09 pm
Miaka 10 iliyopita muziki wa R&B ulikuwa umetawaliwa na Robert Kelly. Nyimbo zake zilikuwa zinaweza kukufanya ulie, upata matumaini au ufurahi kutokana na sauti nzuri na ujumbe wake mahsusi. Miaka ya hivi karibuni mfalme hu...

Chris n Tyga

Chris Brown na Tyga wawashirikisha 50 Cent na T.I kwenye album yao ya pamoja ‘Fan of a Fan’

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 11:55 am
Baada ya kutoa official cover ya album ya ushirikiano wa Chris Brown na rapper Tyga, mastaa hao wametoa orodha ya nyimbo zitakazokuwepo kwenye album hiyo pamoja na wasanii waliowashirikisha. Miongoni mwa nyimbo kumi na sita zit...

IMG_9988 - Copy

Mtangazaji wa Clouds FM Da’Huu asherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutoa msaada Amana

by Yasin Ngituon January 26, 2015 - 11:17 am
Mtangazi wa Clouds FM kupitia kipindi cha Leo Tena, Husna Abdul aka Da’Huu akiambana wa wasanii wa muziki ameshereekea siku yake ya kuzaliwa weekend hii katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa kutoa msaada wa v...

Rais wa Zambia-1

Picha: Sheria Ngowi amvalisha Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu wakati wa kuapishwa

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 11:12 am
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amepata nafasi ya kumvalisha suti maalum (Presidential suit) Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu katika sherehe za kuapishwa kuwa Rais mpya wa nchi hiyo zilizofanyika Ju...

COVER-PAGE-1

Wasanii nchini waachia video ya katuni ya wimbo ‘Tokomeza Zero’

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 11:04 am
Wasanii maarufu wa muziki nchini wanaoguswa na hali ya elimu nchini Tanzania wameachia video ya kipekee ya wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuitaka jamii nzima kuipa kipaumbele sekta ya elimu. Wi...

Wiista - NAIYE Video

New Video: Wiista – Naiye

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 11:00 am
Tazama video ya wimbo wa rapper Wiista uitwao Naiye. Imeongezwa na Abas Adam. Add a comment comments

Riri new song

New Music: Rihanna aachia wimbo mpya ‘Four Five Seconds’ Ft. Kanye West na Paul McCartney

by Sandu Georgeon January 26, 2015 - 10:16 am
Rihanna ameachia wimbo mpya unaoitwa “FourFiveSeconds”, ambao kawashirikisha rapper Kanye West pamoja na Paul McCartney. Wimbo huo ameuweka kwenye website yake rasmi rihannanow.com. Add a comment comments

rs_560x415-150125200548-1024-usa-miss-colombia-miss-universe.ls.12515

Picha: Miss Colombia atwaa taji la Miss Universe 2014

by Bongo5 Editoron January 26, 2015 - 10:02 am
Miss Colombia, Paulina Vega ametwaa taji la Miss Universe 2014 kwenye shindano lililofanyika Jumapili hii nchini Marekani. Miss USA, Nia Sanchez amekuwa mshindi wa pili. Warembo 88 walikuwa wakiwania taji hilo. Add a comment co...

Iyanyaaaaaaaaaa

New Music: Iyanya Ft. Don Jazzy – Gift

by Rama Nnauyeon January 26, 2015 - 9:54 am
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Iyanya akimshirikisha Don Jazzy kutoka Nigeria wimbo unaitwa ‘Gift’ studio ya Mavin Records. Add a comment comments

tlc-nyc

TLC watembeza bakuli kukusanya fedha kurekodi album ya mwisho, zaidi ya $200,000 zachangwa

by Bongo5 Editoron January 25, 2015 - 7:00 pm
Ikiwa ni siku sita tu tangu waanzishe kampeni yao waliyoipa jina, Kickstarter, kundi la TLC limekusanya zaidi ya dola $200,000. T-Boz na Chilli walianzisha kampeni hiyo ili kuchangisha $150,000 kwaajili ya kurekodi album yao ya...

weezy-birdman

Lil Wayne apanga kumpeleka Birdman mahakamani

by Bongo5 Editoron January 25, 2015 - 6:34 pm
Lil Wayne na Birdman wapo vitani rasmi. Wayne anadaiwa kuwa na mpango wa kumpeleka bosi wake mahakamani baada ya njia za kawaida kumaliza tofauti zao kushindikana. Mtandao wa TMZ umedai kuwa wawili hao walijaribu kuyamaliza kif...

dreamz_ukweli[1]

New Music: Dreamz – Ukweli

by Rama Nnauyeon January 24, 2015 - 3:00 pm
Wimbo mpya kutoka kwa msanii Dreamz wimbo unaitwa “Ukweli” Stidio Green Record Add a comment comments

U-1

Picha: Fainali za Miss Universe 2014 kufanyika Jumapili (Jan 25) Miami, Marekani

by Sandu Georgeon January 24, 2015 - 2:43 pm
Fainali za mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Universe 2014 zinatarajiwa kufanyika Jumapili (Jan 25) huko Miami, Marekani. Add a comment comments

H.Baba na mwanae Tanzanite

H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 1:44 pm
H.Baba hataki mchezo. Muimbaji huyo wa mtindo alioupa jina ‘Bongo Bolingo Flava’, amesema mwanae wa kike, Tanzanite ana meneja wake anayejitegemea. H.Baba na mwanae Tanzanite Akizungumza jana kwenye kipindi cha The ...

IMG-20150123-WA0010

Malaika wa ‘Uswazi Take Away’ awataka wasanii wa kike kuiga mfano wa Vanessa Mdee

by Rama Nnauyeon January 24, 2015 - 1:32 pm
Muimbaji aliyewahi kushirikishwa na Chege kwenye wimbo wake ‘Uswazi Take Away’, Diana Malaika amewataka waimbaji wenzake wa kike nchini Add a comment comments

10895477_1405156923112795_1511814733_n

Linex na Empty Soulz kumtoa msanii mwenye ulemavu wa viungo

by Yasin Ngituon January 24, 2015 - 1:03 pm
Linex Sunday Mjeda akishirikiana kampuni ya Empty Soulz wameandaa mpango maalum wa kumsaidia mlemavu wa viungo aitwae ‘AZ’ Mlemavu wa viungo aitwae AZ akiwa na Linex kwa nyuma Linex ameiambia Bongo5 kuwa wamesitisha...